Sukari Lyrics – Zuchu

Sukari song lyrics pinned by Zuchu where sung by Zuchu and music gave Zuchu. The video featuring Zuchu.

Sukari Song Lyrics

Eti nimemlambisha ananambia chombezaa [chombeza]
Tena nikiizidisha ananambia kolezaa [Koleza]
Nikitaka kusitisha ananambia ongezaa [ongeza]
Japo imesibitishwa ila itampoteeza aaa
Ikipanda ni balaaa [Naogopa]
Ikishuka ndo hataali [Naogopa]
Asije pata madhalaa [Naogopa]
Akaikosa na hali [Naogopa]
Radha yake msalaa [Naogopa]
Shila ya kizanzibar [Naogopa]
Nami simpii mi walaa
Akitaka nampa
Ai su kaari [Nampatia]
A Suger sukari [Nampatia]
Su kaari [Nampatia]
A Suger sukari [Nampatia]
Su kaari [Nampatia]
Suger sukari [Nampatia]
Su kaari [Nampatia]
A Suger sukari [Nampatia]
Na akilia njaa
Njuu njaa sifanyi ajisi
Namjazia jaa
Juu jaa na vitangawizii eeeh
Baba chanja baba chanja e [eeeeh]
Chukua vyote chukua [Kulaa]
Vitafune nganjanganja e [eeeeh]
Chakua mwaya chakau [Kulaa]
Ujibusti na karanga e [eeeeh]
Tuliza na kitumbua ila [kulaa]
Jiadhali na majanga wee
Usije ukaugua mana
Ikipanda ni balaaa [Naogopa]
Ikishuka ndo hataali [Naogopa]
Asije pata madhalaa [Naogopa]
Akaikosa na hali [Naogopa]
Radha yake msalaa [Naogopa]
Shila ya kizanzibar [Naogopa]
Nami simpii mi walaa
Akitaka nampa
Ai su kaari [Nampatia]
A Suger sukari [Nampatia]
Su kaari [Nampatia]
A Suger sukari [Nampatia]
Su kaari [Nampatia]
Suger sukari [Nampatia]
Su kaari [Nampatia]
A Suger sukari [Nampatia]
Nimloge kwanini kashanogewa [daambua dambua]
Udambu wa sukarini tamu kolea [daambua dambua]
A sema da dambua [dambua]
We dambua [dambua]
Alua aluaa [dambua]
We dambua [dambua]
A sema da dambua [dambua]
We dambua [dambua]
Inama kama unafuaa [dambua]
Kigulu nyanyuaa [dambua]
Ey
END

Song Details

Song : Sukari

Singer : Zuchu

Lyrics : Zuchu

Music : Zuchu

Artist : Zuchu

M/A : Sukari

Label : WCB Wasafi